NYUMBA HII INAPANGISHWA KWA SH,10,000 KWA MWEZI
Hii
ndiyo nyumba ama Bweni la wasichana wa Shule ya Sekondari ya Kata ya Mazae, iliyopo Wilayani Mpwapwa, ambayo kila mwanafunzi
anayepanga katika jengo hili hulipa Sh. 10,000 kwa mwezi, sasa hali ya
nyumba kama hii kama ni hivi je vipi suala zima la afya ikiwa ni pamoja
na Choo na usalama wa wanafunzi hao na mali zao??, na kama mwanafunzi
anapanga katika jengo hili na kulipa kiasi hicho cha fedha ni kwa nini
asitokee tu nyumbani?
HAPA WANAFUNZI HUJISOMEA KWELI USIKU?
No comments:
Post a Comment