Licha ya kutaja majina hayo, idadi ya miili ambayo hadi jana imepatikana kutokana na kazi kubwa ya uokoaji inayofanywa na Vikosi vya Ulinzi na Usalama, imefikia watu 63. Kati ya watu hao, waliopatikana na idadi kwenye mabano ni pamoja na wanawake (41), wanaume (9) na watoto (12), ambapo kati yao wakiume ni (5) na wa kike (7).
Msemaji wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Mohammed Muhina, alitaja baadhi ya majina ya marehemu waliotambuliwa kuwa ni:
- Mwanahamisi Mshauri Maneno (42, Kibanda Maiti Zanzibar)
- Maua Ramadhan Feruzi (29, Mwembeladu)
- Khadija Omari Ally (58), Kimahewa)
- Mgeni Juma Khalifa (25, Daraja Bovu)
- Amina Ahmed Ramadhan (21, Bumbi Matola, Michenzani)
- Khadija Othuman Juma (50, Michenzani)
- Mohammed Said Salum (42, Magomeni Mikumi, Dar es Salaam)
- Khadija Rajab Kibune (22, Fuoni)
- Hussein Ally Khamis (miaka 4, Mwanakwerekwe)
- Nas Victor Kadozo (30 Mbagala Rangi Tatu, Dar es Salaam)
- Anita Emanuel (42, Kibamba, Dar es Salaam)
- Rukiya Issa Muombwa (miezi 2, Meli Nne Fuoni)
- Halima Ali Khamis (23, Mtopepo)
- Kolin Krispin (miezi 9, Kunduchi, Dar es Salaam)
- Rahma Ali Abdallah (52, Mfenesini, Zanzibar)
- Said Jumanne Masanja (9, Nzega, Tabora)
- Sauda Abdallah Omar (22, Ole, Pemba)
- Said Juma Said (36, Arusha)
- Amina Abdallah Tindwa, (miezi 6, Fuoni)
- Halima Ramadhani Kilimo, (53, Morogoro)
- Amina Hamir Bakari (39, Chukwani)
- Ali Hamdu Othman (35, Mkwajuni)
- Sabiha Heri Mbarouk (25, Mgeleme, Chakechake Pemba)
- Halima Ali Mohamed (35, Kiwengwa)
- Asia Juma Khamis (29, Kiembe Samaki)
- Yusuf Hassan Yusuf (7, Chamazi, Dar es Salaam)
- Batuli Abdulrahman Amir (20, Jang’ombe)
- Fatma Said Sultani (54, Msasani Dar es Salaam)
- Juma Jafari Shajak (miezi 6, Tanga)
- Mohamed Ali Ngombe (41, Buguruni, Dar es Salaam)
No comments:
Post a Comment