Leo
majira ya saa 4.00 asbh kumetokea ajali mbaya ya basi la NBS
linalotokea Tabora kwenda Arusha, basi hilo lilipasuka Taili la mbele na
kugonga mti na kuung'oa na kisha kupinduka, hadi sasa kuna maiti sita
zilizowasilishwa Mortuari na Dereve wa gari hilo pia ni marehemu ila
bado maiti yake haijatolewa kwani amebanwa hadi basi hilo likatwe ndiyo
atolewe
No comments:
Post a Comment