Sehemu
ya maelfu ya wananchi wa mji wa Mtwara na vitongoji vyake,
wakiwasikiliza viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),
katika mkutano wa hadhara wa M4C (Movement For Change), uliofanyika
kwenye Uwanja wa Mashujaa. (Picha na Joseph Senga via Francis Dande)
Aliyekuwa
Mbunge wa Arusha Mjini Godbles Lema, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu
ya CHADEMA, akihutubia katika mkutano wa hadhara waM4C, kwenye Uwanja
wa Mashujaa mjini Mtwara, leo. (Picha na Joseph Senga via Francis Dande)
No comments:
Post a Comment