
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala wa Mikoa na Serikali za Mitaa
(TAMISEMI,) Aggrey Mwanri akihutubia, kwenye mkutano wa CCM uliofanyika,
jana , Julai 22, 2012, kwenye Uwanja wa Community Centre, Mwanga mjini
Kigoma.

Naibu
Waziri wa Uchukuzi, Charles Tzeba akihutubia kwenye mkutano wa CCM
uliofanyika, jana , Julai 22, 2012, kwenye Uwanja wa Community Centre,
Mwanga mjini Kigoma.
Waziri
wa Nchi Ofsi ya Rais, Mahusiano, Steven Wasira akihutubia kwenye
mkutano wa CCM uliofanyika, jana , Julai 22, 2012, kwenye Uwanja wa
Community Centre, Mwanga mjini Kigoma.

No comments:
Post a Comment